• MAHAKAMA ZIMEANZA KUTUMIA MFUMO WA KUTAFSIRI LUGHA.

    MAHAKAMA ZIMEANZA KUTUMIA MFUMO WA KUTAFSIRI LUGHA.0

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Mahakama zimeanza kutumia mfumo unaonasa sauti na kuzibadilisha kwenda kwenye maandishi huku ukitafsiri lugha za Kiingereza na Kiswahili.  “Hii ni hatua kubwa sana kwani mfumo huo unarekodi sauti na kupeleka kwenye maandishi. Vilevile, unaweza kutafsiri lugha ya Kiswahili au Kiingereza kulingana na uhitaji,” amesema na kuongeza: “Kanuni za Mahakama zimeanza

    READ MORE
  • SHILINGI BILIONI 743 ZATOLEWA KWA WANUFAIKA MILIONI 6.

    SHILINGI BILIONI 743 ZATOLEWA KWA WANUFAIKA MILIONI 6.0

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema katika mwaka 2023/2024, shilingi bilioni 743.7 zimetolewa kwa wanufaika zaidi ya milioni sita kupitia mifuko na programu za uwezeshaji wananchi kiuchumi. Ameyasema hayo leo jioni (Jumatatu, Aprili 15, 2024) Bungeni, jijini Dodoma wakati akitoa hoja ya kuhitimisha mjadala wa bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Taasisi zake na Mfuko wa Bunge kwa mwaka 2024/2025.

    READ MORE
  • Rais Dkt.Mwinyi amesema ni wajibu kuulinda Muungano.

    Rais Dkt.Mwinyi amesema ni wajibu kuulinda Muungano.0

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema ni wajibu kuulinda Muungano, kuuendeleza, kuudumisha na kuimarisha zaidi ili kuzidi kunufaika kwa dhamira ile ile ya Waasisi wa Taifa letu. Rais Dk.Mwinyi ameeleza kuwa umoja wa Watanzania unazidi kuimarika , ushirikiano katika shughuli mbalimbali unaongezeka na amani inaendelea kudumu nchini. Rais

    READ MORE
Translate »