Mnamo Novemba 23, 2021, Kampuni inayoongoza kwa Utoaji wa huduma za kidijitali, Tigo, kupitia huduma yake ya Lipa Kwa Simu, ilizindua promosheni ya mwisho wa mwaka inayoitwa Lipa Kwa Simu, uWini, promosheni iliyolenga kuhamasisha wateja wa Tigo pesa kutumia huduma ya malipo ya kidijitali.Na Leo Januari 13, 2022Wamekabidhi zawadi ya Pesa Taslim Tsh. Millioni Moja
READ MORE- Habari, Kitaifa
- January 13, 2022
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi alikuwa mgeni rasmi katika Burudani ya muziki wa Taarabu asilia, ilioandaliwa maalum kwa ajili ya maadhimisho ya kusherehekea miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar. Hafla hiyo imefanyika katika Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdul-wakil, Kikwajuni jijini Zanzibar, ambapo magwiji wa sanaa ya muziki
READ MORE- Habari, Kitaifa
- January 13, 2022
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe Prof Adolf Mkenda (kulia) akipokea nyaraka za ofisi kutoka kwa aliyekuwa Waziri wa wizara hiyo, Prof Joyce Ndalichako ambaye ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu wakati wa makabidhiano ya ofisi yaliyofanyika tarehe 13 Januari 2022, jijini Dodoma. Waziri wa Elimu,
READ MORE