• HOTUBA YA RAIS DKT. MWINYI KATIKA SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 58 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR .

    HOTUBA YA RAIS DKT. MWINYI KATIKA SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 58 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR .0

    Assalamu Aleikum. Tunamshukuru Mwenyezi Mtukufu, Mwingi wa Rehma kwa kutujaaliya uhai na afya njema na kutuwezesha kufikia siku ya leo, tukielekea katika kilele cha Maadhimisho ya Sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar ya Januari, 12 mwaka 1964 yatakayofanyika kesho tarehe 12 Januari, 2022 katika uwanja wa Amani. Tunasherehekea na kuadhimisha kutimia miaka 58, tangu wananchi wa

    READ MORE
  • Maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar Januari 12, 2022 .

    Maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar Januari 12, 2022 .0

    Kikundi cha Komando kikipita kutoa heshima wakati wa Maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar yanayofanyika leo Januari 12, 2022 katika uwanja wa Amaani Karume Zanzibar. Maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar yanayofanyika leo Januari 12, 2022 katika uwanja wa Amaani Karume Zanzibar. Mgeni Rasmi ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa

    READ MORE
  • Waziri Mkenda akabidhi Ofisi kwa Waziri Bashe .

    Waziri Mkenda akabidhi Ofisi kwa Waziri Bashe .0

    WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda amekabidhi Ofisi kwa Waziri mpya wa Kilimo Hussein Bashe huku alieleza kuwa amekabidhi kwa mtu anayejua vizuri. Hayo ameyasema jijini Dodoma leo tarehe 11 Januari 2022 wakati akikabidhi Ofisi kwa Waziri huyo Mara baada ya kuapishwa rasmi jana ambapo ametumia nafasi hiyo kuwashukuru watumishi wa wizara

    READ MORE
Translate »