RASMI CHAMA AREJEA SIMBA(+Video)
- Michezo na Burudani
- January 14, 2022
Habari katika Picha zikimuonyesha Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Massoud Othman akikabidhiwa fomu ya Kugombea Umakamu Mwenyekiti Mwanachama wa chama hicho na Mjumbe wa Kamati ya Uchaguzi ya Chama cha ACT Wazalendo Muhene Said Rashid katika Afisi Kuu ya chama hicho Vuga Zanzibar. Baada ya Kuchukua Fomu Makamu wa kwanza wa Rais
READ MORENa Mwandishi Wetu. Ikiwa ni takribani mwezi mmoja tangu kuzinduliwa kwa kampeni ya WAJIFTISHE GIFTI JUU YA GIFTI inayoendeshwa na Kampuni inayoongoza kwa utoaji wa huduma za Kidigitali hapa nchini Tigo Tanzania, Bibi Frola Willison Rutabingwa ameibuka mshindi wa pikipiki aina ya Boxer kupitia KAMPENI YA TIGO “WAGIFTISHE GIFT JUU YA GIFT” baada ya kununuliwa
READ MOREKwa upande wa Kidato cha Kwanza mwaka 2022 jumla ya wanafunzi 907,803 wakiwemo wavulana 439,836 na wasichana 467,967 wamechaguliwa kujiunga na Kidato cha Kwanza mwaka 2021 ikilinganishwa na wanafunzi 833,872 waliojiunga kidato cha kwanza 2021. Wanafunzi hao wanatarajiwa kuanza masomo tarehe 17 Januari, 2022 na orodha yao tayari imekwishatolewa ikionesha shule wanazotakiwa kusoma. Uchambuzi unaonesha
READ MORE