• MMOJA AKUTWA AMEKUFA MAJI MTO MOROGORO

    MMOJA AKUTWA AMEKUFA MAJI MTO MOROGORO0

    Mvua zinazoendelea kunyesha mkoani Morogoro zimeendelea kuleta madhara mbalimbali ikiwemo kusababisha vifo vya watu takribani watatu katika kipindi cha wiki mbili baada ya watu hao kufa maji wakati wakijaribu kuvuka katika Mto Morogoro Akizingumza mara baada ya kufanikiwa kuopoa mwili wa  mtu mmoja ambaye jina lake halikutambulika mara moja ambaye amekutwa amekufa maji katika maporomoko ya

    READ MORE
  • WAZIRI AWESO AWASILISHA MAKADIRIO YA BAJETI YA WIZARA YA MAJI BUNGENI

    WAZIRI AWESO AWASILISHA MAKADIRIO YA BAJETI YA WIZARA YA MAJI BUNGENI0

    Na Barnabas Kisengi-Dodoma Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amewasilisha bungeni hotuba ya makadirio ya bajeti ya Wizara ya Maji kwa mwaka wa fedha 2021/22 jumla ya Shilingi Bilioni 680.3 Akiwasilisha bejeti hiyo Waziri Aweso ameeleza mafanikio yaliyopatikana kutokana na utekelezaji wa miradi mbalimbali katika sekta ya maji katika kipindi cha Julai, 2020 hadi Machi, 2021

    READ MORE
  • KMC FC KUONDOKA NA WACHEZAJI 22 KESHO KUWAFUATA NAMUNGO RUANGWA

    KMC FC KUONDOKA NA WACHEZAJI 22 KESHO KUWAFUATA NAMUNGO RUANGWA0

    Kikosi cha wachezaji 22 wa KMC FC kitaondoka Jijini Dar es Salaam kesho asubuhi kuelekea Ruangwa Mkoani Lindi kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu soka Tanzania Bara dhidi ya Namungo utakaochezwa siku ya Jumapili ya Mei 9 katika Uwanja wa Majaliwa Mkoani humo. Kikoso hicho cha wana Kino Boys , kinakwenda kukutana na Namungo

    READ MORE
Translate »