MMOJA AKUTWA AMEKUFA MAJI MTO MOROGORO

MMOJA AKUTWA AMEKUFA MAJI MTO MOROGORO

Mvua zinazoendelea kunyesha mkoani Morogoro zimeendelea kuleta madhara mbalimbali ikiwemo kusababisha vifo vya watu takribani watatu katika kipindi cha wiki mbili baada ya watu hao kufa maji wakati wakijaribu kuvuka katika Mto Morogoro Akizingumza mara baada ya kufanikiwa kuopoa mwili wa  mtu mmoja ambaye jina lake halikutambulika mara moja ambaye amekutwa amekufa maji katika maporomoko ya

Mvua zinazoendelea kunyesha mkoani Morogoro zimeendelea kuleta madhara mbalimbali ikiwemo kusababisha vifo vya watu takribani watatu katika kipindi cha wiki mbili baada ya watu hao kufa maji wakati wakijaribu kuvuka katika Mto Morogoro

Akizingumza mara baada ya kufanikiwa kuopoa mwili wa  mtu mmoja ambaye jina lake halikutambulika mara moja ambaye amekutwa amekufa maji katika maporomoko ya mto Morogoro,  mkaguzi msaidizi wa jeshi la zimamoto na uokoaji, Fadhili Makala, kutoka jeshi la zimamoto na uokoaji Morogoro amewataka wananchi kuacha tabia ya kujaribu kuvika kwenye mito ambayo hawajui kina cha maji kilivyo hali inayohatarisha maisha yao.

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Translate »