RASMI CHAMA AREJEA SIMBA(+Video)
- Michezo na Burudani
- January 14, 2022
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mh. Hemed Suleiman Abdulla alisema waumini wanapaswa kuzingatia wajibu wao wa kutekeleza Ibada kufuatia mafunzo waliyoyapata ndani ya mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan. Aliyasema hayo wakati akisalimiana na Waumini mara baada ya kukamilika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa katika Msikiti wa Ijitimai ya zamani Magogoni Wilaya
READ MORERAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kwamba mbali ya ibada ni vyema misikiti ikatumiwa katika masuala yanayohusu jamii. Alhaj Dk Mwinyi aliyasema hayo leo wakati akitoa nasaha zake katika ufunguzi wa Masjid Shifaa, Mwembetanga, Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi, hafla iliyohudhuriwa na viongozi mbali
READ MORENa Mwandishi Wetu Dodoma Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto anayeshughulikia masuala ya Maendeleo ya Jamii, Mwanaidi Ali Khamis ametoa wito kwa jamii kushirikiana katika malezi ya watoto wanaoishi katika mazingira magumu. Mhe. Mwanaidi akizungumza na watoto na walezi wa kijiji cha Matumani alipokitembelea leo jijini Dodoma amesema wadau wote
READ MORE