MAKAMU WA RAIS ZANZIBAR AMEWASIHI WAISLAM KUYAISHA MAFUNZO WALIYOPATA NDANI YA MFUNGO WA MWEZI WA RAMADHAN

MAKAMU WA RAIS ZANZIBAR AMEWASIHI WAISLAM KUYAISHA MAFUNZO WALIYOPATA NDANI YA MFUNGO WA MWEZI WA RAMADHAN

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mh. Hemed Suleiman Abdulla alisema waumini wanapaswa kuzingatia wajibu wao wa kutekeleza Ibada kufuatia mafunzo waliyoyapata ndani ya mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan. Aliyasema hayo wakati akisalimiana na Waumini mara baada ya kukamilika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa katika Msikiti wa Ijitimai ya zamani Magogoni Wilaya

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mh. Hemed Suleiman Abdulla alisema waumini wanapaswa kuzingatia wajibu wao wa kutekeleza Ibada kufuatia mafunzo waliyoyapata ndani ya mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan.

Aliyasema hayo wakati akisalimiana na Waumini mara baada ya kukamilika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa katika Msikiti wa Ijitimai ya zamani Magogoni Wilaya ya Magharibi B.

Alisema wajibu wa waumini hao ni vyema ukalenga ndani ya mfumo wa ushirikiano, umoja na mshikamano utakaorahisisha matakwa waliyoyakusudia hatua ambayo kwa upande mwengine itaisaidia Serikali Kuu katika kuwahudumia Wananchi wake.

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Latest Posts

Top Authors

Most Commented

Featured Videos

Translate »