• MUUNGANIKO WA SHUGHULI ZITAKAZOFANYIKA KWENYE VIKAO VYA KAMATI YA BUNGE LA TANZANIA JANUARI 18

    MUUNGANIKO WA SHUGHULI ZITAKAZOFANYIKA KWENYE VIKAO VYA KAMATI YA BUNGE LA TANZANIA JANUARI 180

    Vikao vya kamati za Bunge la Tanzania vinatarajiwa kuanza Januari 18 hadi 31, 2021 jijini Dodoma vikiwa ni vya kwanza tangu kumalizika kwa uchaguzi mkuu wa Oktoba 28, 2020 huku chama cha CCM kikiibuka na ushindi mkubwa. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Jumatatu Januari 13, 2021 inaeleza kuwa shughuli zitakazofanywa ni pamoja na uchaguzi

    READ MORE
  • MTANDAO WA WIZI WA MADAWA WABAINIKA HOSPITALI YA MUHIMBILI

    MTANDAO WA WIZI WA MADAWA WABAINIKA HOSPITALI YA MUHIMBILI0

    Kesi ya wafanyakazi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) waliofukuzwa kwa kuwapa wagonjwa dozi kubwa za dawa kuliko mahitaji, wakitumia jina la daktari “hewa”, imeanika mbinu za wizi wanazotumia watumishi wasio waaminifu katika hospitali za umma. Kufukuzwa kazi kwa Andrew Komba na Nelson Ileta, ambao pia walithibitika kutumia fomu batili za Mfuko wa Taifa wa

    READ MORE
  • SOMO LA LEO : HESABU 6:1-15

    SOMO LA LEO : HESABU 6:1-150

    Mnadhiri. 1 Bwana akamwambia Mose, 2“Sema na Waisraeli na uwaambie: ‘Ikiwa mwanaume au mwanamke anataka kuweka nadhiri maalum, nadhiri ya kutengwa kwa ajili ya Bwana kama Mnadhiri, 3ni lazima ajitenge na mvinyo na kinywaji kingine chochote chenye chachu, na kamwe asinywe siki itokanayo na mvinyo au itokanayo na kinywaji kingine chenye chachu. Kamwe asinywe maji ya zabibu wala kula zabibu mbichi

    READ MORE
Translate »