• Wizara ya Kilimo kuwekeza kwenye miundombinu ya umwagiliaji na uzalishaji wa miche bora ya zao la chai

    Wizara ya Kilimo kuwekeza kwenye miundombinu ya umwagiliaji na uzalishaji wa miche bora ya zao la chai0

    Na Barnabas kisengi NjombeMarch 12 2021 Waziri wa Kilimo Profesa Adolf Mkenda amesema ili kukabiliana na kushuka kwa kiwango cha uzalishaji wa zao la chai nchini wizara yake itawekeza kwenye miundombinu ya umwagiliaji na uzalishaji wa miche bora ili zao la chai lilimwe kwenye maeneo mengi nchini. Amesema wizara ya kilimo itahakikisha inatumia wataalaam wake

    READ MORE
  • TARURA WAAGIZWA KUKAGUA BARABARA ZA MITAA

    TARURA WAAGIZWA KUKAGUA BARABARA ZA MITAA0

    Na Barnabas Kisengi-Dodoma March 12, 2021 Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mh Antony Mavunde leo march 12, 2021 ameongozana na wataalamu kutoka Wakala wa Barabara za Mjini na Vijijini TARURA kukagua na kuona barabara za mtaa wa chinyoya Kata ya kilimani jinsi miundombinu ya barabara hizo za mtaa wa chinyoya zilivyo haribika kutokana na vua zinazoendelea

    READ MORE
  • BREAKING NEWS: MAJALIWA AFUNGUKA AFYA YA RAIS MAGUFULI

    BREAKING NEWS: MAJALIWA AFUNGUKA AFYA YA RAIS MAGUFULI0

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa amewataka watanzania kuwapuuza wapotoshaji wanaosambaza taarifa za chuki, uongo na kuzua taharuki miongoni mwa wanajamii kuhusiana na afya ya Rais John Pombe Magufuli. Akizungumza baada ya Swala ya Ijumaa katika Msikiti Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Waziri Mkuu Majaliwa amesisitiza kuwa tabia ya watanzania wenzetu

    READ MORE
  • Sheria za Tanzania kuanza kutafsiriwa kwa Kiswahili

    Sheria za Tanzania kuanza kutafsiriwa kwa Kiswahili0

    Kikao kazi cha wataalamu wa sheria kutoka taasisi mbalimbali wakiongozwa na Wanasheria kutoka Wizara ya Katiba na Sheria, hivi karibuni kilianza kazi ya kutafsiri sheria zote nchini. Kikao kazi hicho cha awamu ya kwanza cha siku 8 kilianza kazi Machi 3 na wajibu wake ni kutafsiri sheria 16.Huu ni utekelezaji wa agizo lilitolewa na Waziri

    READ MORE
  • RAIS WA TFF KARIA AJIONDOA

    RAIS WA TFF KARIA AJIONDOA0

    Raiswa shIrikisho LA miguu Tanzania Wallace Karia amejiondoa kwenye kinyang’anyiro cha kuwania ujumbe was baraza la shirikisho LA kimataifa LA Moira was miguu FIFA COUNCIL kuwakilisha nchi za Afrika zinazozungumza kiingereza Baada ya kushauriana na viongozi wenzake wa Baraza LA Vyama vya Mpira wa miguu Afrika Mashariki na kati CECAFA ambapo yeye ni Raising aliamua

    READ MORE
  • Muuguzi afukuzwa kazi kwa kumwingilia kinguvu mwanafunzi na kumpa Ujauzito

    Muuguzi afukuzwa kazi kwa kumwingilia kinguvu mwanafunzi na kumpa Ujauzito0

    Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Manispaa Tabora, limeazimia kufukuzwa kazi aliyekuwa Muuguzi wa zahanati ya Kalunde, Elipidius Kweyamba, baada ya kupatikana na hatia ya kubaka mwanafunzi na kumpa mimba. Akitangaza maamuzi ya Kamati ya Nidhamu katika kikao cha baraza hilo kilichofanyika jana Mstahiki Meya wa Manispaa hiyo Ramadhan Shaban Kapela alisema wamefikia hatua hiyo

    READ MORE
Translate »