RASMI CHAMA AREJEA SIMBA(+Video)
- Michezo na Burudani
- January 14, 2022
Na Barnabas kisengi Dodoma February 24 2021 WAZIRI wa Afya,maendeleo ya Jamii jinsia wazee na watoto,Dorothy Gwajima amemuagiza Katibu Mkuu,Idara kuu ya maendeleo ya Jamii kuhakikisha anampatia taarifa kuhusu Fedha zinazotolewa na Serikali kupitia halmashauri katika kuwawezesha wanawake kiuchumi. Hatua hiyo ya Waziri Gwajima imekuja kufuatia baadhi ya wananchi kulalamika kuwa hawajapata mikopo ambayo imekuwa ikitolewa na
READ MORESerikali ya awamu ya nane inayoongozwa na Rais Dk. Hussein Ali Mwinyi itaendelea kuthamini mchango mzuri unaotolewa na waandishi wa habari Zanzibar katika kuawahabarisha wananchi juu ya matukio mbali mbali yanayoendelea nchini. Makamu wa Pili wa Rais Mhe. Hemed Suleiman Abdulla alieleza hayo wakati akizungmza na Kamati maalum ya waandishi wa habari iliongozwa na viongozi
READ MORENa. Edward Kondela Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Mashimba Ndaki amekitaka Kitengo cha Hifadhi ya Bahari na Maeneo Tengefu (MPRU) kuhakikisha hadi kufikia Mwezi Agosti Mwaka 2021 kinaweka alama za mipaka katika maeneo yote ya hifadhi za bahari ili kuondoa migogoro kati yao na wavuvi. Akizungumza jana (23.02.2021) na wananchi katika Kata ya Jibondo
READ MOREMsanii wa Muziki wa Dansi, Waziri Sonyo alifariki dunia Tarehe 23.02.2021 Kibaha Mkoani Pwani. Mungu ailaze Roho ya Marehemu Mahali Pema Peponi. RIP WAZIRI SONYO
READ MORESTATE HOUSE ZANZIBAR OFFICE OF THE PRESS SECRETARY PRESS RELEASE Zanzibar 24.02.2021 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameeleza kwamba Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar itaendelea kushirikiana na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi katika kuhakikisha amani na usalama vinaimarishwa hapa nchini. Hayo aliyasema leo wakati
READ MORE