RASMI CHAMA AREJEA SIMBA(+Video)
- Michezo na Burudani
- January 14, 2022
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Abdallah Ulega amewataka wazalishaji wa bidhaa za ndani kuandika kwa Kiswahili maelekezo ya matumizi ya bidhaa wanazozalisha ili Watanzania waweze kuzisoma na kuzielewa. Akizungumza katika ziara yake aliyofanya leo Februari 15, 2021 katika ofisi za Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA), Mhe. Ulega amewataka wazalishaji mbalimbali wa
READ MOREHabari picha Naibu Spika Dr. Tulia Ackson ameshiriki tukio la kuaga mwili wa marehemu Mhandisi Atashasta Nditiye aliyekua Mbunge wa Jimbo la Muhabwe (Kibondo) ambapo mazishi yake yamefanyika katika kijiji cha Kumwambu Mkoani Kigoma. Na Barnabas kisengi kigoma. February 15, 2021
READ MORECHAMA cha Wasioona Tanzania Mkoa wa Dodoma (TLB) kimewataka walemavu wasioona kuchukua tahadhali kubwa ya jinsi ya kujilinda na maambukizi ya magonjwa mbalimbali ikiwemo ya Covid -19 kutokana na ulemavu walionao wa kutokuona. Tahadhali hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa Chama hicho mkoa wa Dodoma Omar Lubuva,alipokuwa akizungumza na wajumbe wa mkutano mkuu wa chama hicho
READ MOREWatumishi 16 wa halmashauri ya Manispaa waliokuwa wanamiliki vizimba kwenye soko kuu jipya la Chifu Kingalu la Morogoro ( zamani soko kuu jipya la Morogoro) na kuwakodishi wafanyabishara wadogo kwa Sh 50,000 kwa mwezi badala ya sh 20,000 kiwango kilichowekwa na Manispaa hiyo wamevirejesha ( kusalenda ) na fedha walizochukua baada ya agizo la Rais
READ MOREMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameonyesha kufurahishwa na kazi kubwa na nzuri wanayoifanya na DAWASA ya usimamizi wa miradi na kusogeza huduma ya Maji kwa wananchi wengi ambapo ameahidi kufikiria kuwapa miradi iliyo nje ya Jiji la Dar es salaam. Mhe. Samia ametoa kauli hiyo wakati wa
READ MORE