• 0

    Habari picha familia ya Mr $ Mrs Barnabas kisengi wa kilimani Dodoma wanawatakiwa wanafamilia wote na watanzania kwa ujumla heri ya sikukuu ya wapendanao VALENTINE DAY tunawatakia heri ya sikukuu hii ambayo kila ifikapo February 14 kila mwaka ni siku muhimu ya Valentine Day tunawatakia upendo,amani na utulivu katika kusherekea sikukuu hiiREAD MORE
  • 0

    READ MORE
  • MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA AZINDUA MRADI WA USAMBAZAJI WA MAJI PUGU.

    MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA AZINDUA MRADI WA USAMBAZAJI WA MAJI PUGU.0

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan Leo amezindua Mradi wa Usambazaji wa Maji Kutoka Kisarawe-Pugu-Gongolamboto na maeneo ya jirani Wenye thamani ya Shilingi bilioni 6.9 ambapo amewapongeza DAWASA kwa jitiada kubwa wanazofanya kusogeza huduma ya Maji kwa wananchi.Akizungumza wakati wa uzinduzi huo uliofanyika Shule ya Sekondari Pugu, Mhe.

    READ MORE
Translate »