RASMI CHAMA AREJEA SIMBA(+Video)
- Michezo na Burudani
- January 14, 2022
JESHI LA POLISI MKOANI KIGOMA KWA KUSHIRIKIANA NA MAMLAKA YA USIMAMIZI WA WANYAPORI(TAWA)MKOANI WAMEFANIKIWA KUKAMATA BUNDUKI 268 MIONGONI MWAKE ZIKIWEMO SILAHA ZA KIVITA ZINAZODAIWA KUTUMIKA KATIA MATUKIO MBALIMBALI YA KIHALIFU MKOANI KIGOMA KWA KIPINDI CHA MIAKA KUMI IKIWEMO UTEKAJI WA MAGARI. JINA LA KAMANDA ANAITWA ACP JAMES MANYAMA,KAMANDA WA JESHI LA POLISI MKOA WA KIGOMA.
READ MORESerikali ya Mapinduzi ya Zanzibar haitasita kumchukulia hatua za Nidhamu pamoja na zile za Kisheria Kiongozi ye yote wa Taasisi ya Umma atakayebainika kuingilia uhuru wa Mahakama katika masuala yote yanayohusiana na Kesi ya Udhalilishaji hapa Nchini. Kauli hiyo imetolewa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mheshimiwa Hemed Suleiman Abdulla wakati akizungumza na
READ MOREJumla ya shilingi bilioni 1.3 zimechangwa na wadau mbalimbali ili kufanikisha ujenzi wa wodi ya Saratani inayojengwa katika hospitali ya rufaa ya kanda-Bugando inayotarajia kukamilika mapema mwezi agosti mwaka huu.Akiongea wakati wa harambee hiyo iliyofanyika kwenye ukumbi wa BOT jijini Mwanza kwa niaba ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Waziri wa Afya,
READ MOREKAIMU Mkurugenzi ,Idara ya Maendeleo ya Watoto Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,wazee na Watoto Sebastian Kitiku amesema,miongoni mwa changamoto zinazoikabili idara hiyo katika kupambana na ukatili wa kijinsia ukiwemo ukeketaji ni namna ya kubadilisha fikra za wananchi katika kile wanachokiamini kuhusiana na mila na desturi. Ametoa kauli hiyo leo jijini Dodoma wakati akizungumza na waandishi
READ MOREMsomaji,wa jfive karibu uyatazame magazeti ya leo 07.02.2021.
READ MORE