• “Upandaji miti ni lazima”.amesema Pinda.0

    DODOMA  NA. barnabas kisengi WAZIRI Mkuu mstaafu Mizengo Pinda amezitaka Ofisi za Umma kuona Jambo la upandaji miti ni lalazima sio Jambo la hiari katika kuchaingia uhifadhi wa mazingira   kwa manufaa ya vizazi vijavyo. Pinda ametoa wito huo leo katika uzinduzi wa upandaji wa miti 800 katika Ofisi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC

    READ MORE
  • Vifo vitokanavyo na UKIMWI vimepungua.0

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI MAJALIWA: VIFO VITOKANAVYO NA UKIMWI VIMEPUNGUA NCHINI WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema uimarishaji wa huduma za tiba ikiwemo matumizi ya dawa za kufubaza virusi vya ukimwi (ARVs) umechangia kupunguza vifo vitokanavyo na UKIMWI kutoka vifo vya watu 85,000 mwaka 2001 hadi kufikia vifo 21,529 mwaka 2019. Waziri Mkuu ameyasema hayo

    READ MORE
  • Wafanyabiashara na wawekezaji kuzungumza na mkuu wa mkoa wa Dar es salaam desemba 10,2020.0

    Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mh.Aboubakar Kunenge anatarajiwa kukutana na wafanyabiashara na wawekezaji wa jiji la Dar es salaam Desemba 10,2020 kwenye ukumbi wa mikutano wa mwalimu nyerere posta jijini Dar es salaam. Rc Kunenge amesema lengo la mkutano huo ni kuwek mazingira bora ya uwekezaji na biashara ili kila mmoja aweze kunufaika

    READ MORE
Translate »