Wafanyabiashara na wawekezaji kuzungumza na mkuu wa mkoa wa Dar es salaam desemba 10,2020.

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mh.Aboubakar Kunenge anatarajiwa kukutana na wafanyabiashara na wawekezaji wa jiji la Dar es salaam Desemba 10,2020 kwenye ukumbi wa mikutano wa mwalimu nyerere posta jijini Dar es salaam. Rc Kunenge amesema lengo la mkutano huo ni kuwek mazingira bora ya uwekezaji na biashara ili kila mmoja aweze kunufaika

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Aboubakar Kunenge

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mh.Aboubakar Kunenge anatarajiwa kukutana na wafanyabiashara na wawekezaji wa jiji la Dar es salaam Desemba 10,2020 kwenye ukumbi wa mikutano wa mwalimu nyerere posta jijini Dar es salaam.

Rc Kunenge amesema lengo la mkutano huo ni kuwek mazingira bora ya uwekezaji na biashara ili kila mmoja aweze kunufaika na shughuli anayoifanya.

Aidha RC Kunenge amesema kupitia mazingira bora ya biashara na uwekezaji itarahisisha ukusanyaji mzuri wa kodi na ongezeko la ajira kwa wananchi.

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Translate »