RASMI CHAMA AREJEA SIMBA(+Video)
- Michezo na Burudani
- January 14, 2022
Dodoma. Katika kuelekea siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia Novemba 25 hadi Disemba 10 , jamii imeshauriwa kuungana kwa pamoja kupinga vitendo hivyo kwani vimekuwa na athari nyingi kwenye jamii ikiwemo kurudisha nyuma maendeleo ya mtu mmoja mmoja. Siku 16 za kupiga ukatili wa kijinsia ni kampeni ya kimataifa ianyoongozwa na kituo cha kimataifa
READ MOREDodoma JESHI la Polisi Mkoani Dodoma linawashikilia wahamiaji haramu 12 ambao ni raia wa Nchini Ethiopia Mmoja Kati yao anatokea Nchini Kenya. Akizungumza na Waandishi wa habari leo Jijini Dodoma,Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Dodoma,Gilles Muroto amesema kuwa Raia hao wamekamatwa wiki iliyopita katika eneo la Wilaya ya Kongwa ambapo walikuwa wakichenji Dolla. Kamanda Muroto
READ MOREDodoma IMEELEZWA kuwa zaidi ya asilimia 50 ya maambukizi mapya ya virusi vya UKIMWI nchini yapo kwa kundi la vijana wenye umri kati ya miaka 15 hadi 35. Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dodoma kuhusiana na maadhimisho ya siku ya Ukimwi Duniani yanayofanyika Disemba mosi ya kila mwaka, Katibu Mkuu,Ofisi ya Waziri Mkuu
READ MOREWAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa siku 15 kwa uongozi ya Wilaya ya Chamwino, Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) na Suma JKT wahakikishe ujenzi wa hospitali ya Uhuru katika Halmashauri ya Chamwino unakamilika. Akizungumza mara baada ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa hospitali hiyo, Waziri Mkuu amesema lengo ni kuhakikisha hospitali hiyo inazinduliwa na Rais Dkt. John Pombe
READ MORE