Thamani ya vikosi vya timu 8 zilizofuzu robo fainali ya Klabu Bingwa Afrika.
- Uncategorized
- April 14, 2021
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Amewataka Wakandarasi wazawa hapa nchini kuhakikisha wanafanya kazi kwa kuzingatia waledi na uzalendo kwa kuzingatia maadili ya taaluma yao ili serikali iendelee kuwaamini katika kuwapa miradi malimbali inayoendelea kujengwa.Kauli hiyo ameitoa leo wakati alipowapigia simu na kuwapa maelekezo hayo wakati wa kongamano la wakandarasi
READ MOREKamati ya Ushauri ya Sensa ya Watu na Makazi imefanya kikao kazi cha utekelezaji wa Sensa ya Mwaka 2022. Katika kikao hiki, Kamati imepokea taarifa ya hali ya maandalizi kuelekea Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 itakayofanyika tarehe 23 Agosti, 2022. Jukumu kubwa la Kamati ya Ushauri ni kuishauri Kamati Kuu ya Taifa
READ MORE#VIDEO: MAJALIWA AVUA UWAZIRI MKUU, AJICHANGANYA KUMWAGA ZEGE
READ MORExxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx NA HERI SHAABAN (ILALA)Herishaban@gmail.com WILAYA YA ILALA inatarajia kupanda miti milioni 1.5 kwa ajili ya kampeni ya utunzaji Mazingira na kuhifadhi vyanzo vya maji . Hayo yalisemwa na Mkuu wa Wilaya ya Ilala Ng’wilabuzu Ndatwa Ludigija katika uzinduzi wa siku ya MAZINGIRA Duniani ambapo Wilaya ya Ilala imezindua kwa kufanya usafi na kupanda miti
READ MORENa Barnabas Kisengi, Dodoma Chama vha wakandarasi Tanzania wanatarajia kufanya kongamano la kumpongeza RAIS WA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA kwa kupokea tunzo ya usimamizi na utekelezaja wa miundombinu bora hapa nchini. Akizungumza na Waandishi wa habari jijini Dodoma Mwenyekiti wa chama cha Wakandarasi nchini THOBIAS KYANDO amesema watakuwa na kongamano la kujadili mambo mbalimbali
READ MORE,
READ MORE