Waziri wa Kilimo Mhe. Prof Adolf Mkenda tarehe 19 Octoba 2021 amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mazingira, Kilimo na Uvuvi wa Burundi Mhe. Dkt Rurema Deo-Guide katika ofisi za Wizara hiyo zilizopo Mtaa wa Commune Mukaza kata ya Rohelo Mjini Bujumbura nchini Burundi akiwa katika ziara ya kikazi ya siku mbili kuanzia tarehe
READ MORE*Atangaza timu za mikoa za kusimamia fedha hiyo *Asisitiza hakuna kulipana posho, ahimiza tathmini zifanyike kila mara WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Wakuu wa Mikoa yote nchini wanapaswa kusimamia kwa karibu fedha maalum ya sh. trilioni 1.3 zilitolewa na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ili kuimarisha huduma za jamii. “Kule mikoani kutakuwa na kamati
READ MORE