- Habari, Kitaifa
- July 8, 2021
Katika kuhakikisha kuwa watanzania waishio Mijini na Vijijini wanapata Huduma Bora ya Maji Safi,Salama na yenye kujitosheleza,Wizara ya Maji imeongezewa fedha kiasi cha shilingi bilioni 207 ambayo itatumika kwaajili kujenga miradi ya maji. Wizara hiyo iliidhinishwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kiasi cha shilingi Bilioni 680 lakini kwenye bajeti ya Wizara ya
READ MOREWaziri wa Kilimo Mhe Prof. Adolf Mkenda amekutana na kufanya mazungumzo na Mwakilishi wa Ubalozi wa Israel nchini Bw Eyatan Hatzor na wawakilishi wa Taasisi ya CultiviAid Dkt Tomer Malchi pamoja na Bw. David Zukerman wa nchini Israel. Katika mazungumzo hayo yaliyotanguliwa na mazungumzo na Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo Prof. Siza Tumbo
READ MORE- Habari, Kitaifa
- July 8, 2021
Mwaka 2016 Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) liliingia mkataba wa kulikopesha Shirika la Maendeleo la Taifa kiasi cha Shilingi Bilioni 4.5 ili kujenga kiwanda cha kimkakati cha kutengeneza viuadudu vya Malaria cha TBPL kilichopo Kibaha Mkoani Pwani. Leo ikiwa imepita mitano sasa NDC imeshindwa kulipa mkopo huo wa NSSF ambao umekuwa hadi
READ MORE