• UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA KONDE, WAGOMBEA 12 WATEULIWA

    UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA KONDE, WAGOMBEA 12 WATEULIWA0

    …………………………………………………………………… NEC PEMBA Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Konde, Yasini Jabu Hamis amefanya uteuzi wa wagombea kumi na mbili (12) ambao wanawania ubunge ili kujaza nafasi iliyowazi kwenye jimbo hilo.  Bw. Hamis amesema kwamba kati ya wagombea hao wanawake ni watatu (3) na wanaume ni tisa (9). Amewataja wagombea hao kuwa ni pamoja na

    READ MORE
  • SERIKALI YAONGEZA WANYAMAPORI HIFADHI NDOGO YA LUHIRA SONGEA

    SERIKALI YAONGEZA WANYAMAPORI HIFADHI NDOGO YA LUHIRA SONGEA0

    Baadhi ya wanyamapori ambao wameongezwa hifadhi ndogo ya asili Luhira mjini Songea na wanyamapori ambao wapo katika hifadhi hiyo iliyopo katikati ya mji wa Songea  Mhifadhi Mkuu wa Wanyamapri kutoka TAWA Asharafu Shemoka akizungumza mara baada ya kuwafikisha salama wanyamapori waliosafirishwa kutoka mkoani Arusha kwa magari hadi hifadhi ya Luhira Songea Mkuu wa Kikosi Dhidi

    READ MORE
  • MFUMO WA MABADILIKO YA UENDESHAJI YAPITISHWA RASMI YANGA

    MFUMO WA MABADILIKO YA UENDESHAJI YAPITISHWA RASMI YANGA0

    Wanachama wa Yanga wamekubali rasmi kuingia katika mfumo wa mabadiliko ya uendeshaji na mabadiliko ya katiba kwenye mkutano mkuu uliofanyika leo June 27,2021 jijini  Dar es Salaam.  Mwenyekiti wa Yanga, Dk Mshindo Msolla aliwauliza wanachama kuhusu kuafiki mabadiliko hayo mara baada ya kutambulisha kamati iliyosimamia mchakato wa mabadiliko ya mfumo wa uendeshaji. Wajumbe waliopitisha mabailiko

    READ MORE
Translate »