WATU 50 WANUSURIKA KIFO BAADA YA BASI LA KANDAHAR LINALOTOKA WILAYANI KARAGWE MKOANI KAGERA KWENDA MKOANI ARUSHA KUTEKETETEA KWA MOTO ENEO LA KITENGULE WILAYANI MISENYI. KAIMU MKUU WA JESHI LA ZIMAMOTO NA UAKOAJI MKOA WA KAGERA, ABDULHAMAN NGAUGIA AMESEMA AJALI HIYO IMETOKANA NA TAILI LA NYUMA LA BASI HILO KUPASUKA NA KUSABABISHA BASI KUWAKA MOTO.
READ MOREMawaziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wamekutana tarehe 25 Juni 2021 katika ukumbi wa kimataifa wa mikutano wa mjini Arusha (AICC ) kwa ajili ya kuweka mikakati ya pamoja ya kuendeleza sekta ya kilimo, mifugo na Uvuvi ikiwa ni pamoja na mambo mengine ya kupambana na nzige. Kadhalika Mawaziri hao
READ MORERais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, tarehe 23 Juni, 2021 ameshiriki Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) uliofanyika mjini Maputo nchini Msumbiji. Mkutano huo umejadili ajenda mbalimbali zikiwemo zinazohusu mtangamano wa nchi wanachama wa jumuiya hiyo, fursa mbalimbali za
READ MORERais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan tarehe 22 Juni, 2021 amefanya uteuzi wa Wakuu wa Wilaya wawili (2) kama ifuatavyo:- Amemteua Bw. Suleiman Yusuph Mwenda kuwa Mkuu wa Wilaya ya Iramba Mkoani Singida. Mwenda anachukua nafasi ya Bw. Kenan Laban Kihongosi ambaye amepangiwa majukumu mengine. Kabla ya uteuzi huo, Mwenda
READ MORERAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema kufanyika kwa Tamasha la Mashindano ya Kimataifa ya Marathon (Zanzibar International Marathon – ZIM ) hapa nchini, kutaonyesha utayari wa Serikali katika kuvutia Wawekezaji, hususan kupitia sekta ya Utalii. Dk. Mwinyi amesema hyo leo Ikulu Jijini Zanzibar, alipozungumza na Viongozi, Wadhamini,
READ MORE