• SEKTA YA ELIMU NI WAKALA WA MABADILIKO KIUCHUMI-MAJALIWA

    SEKTA YA ELIMU NI WAKALA WA MABADILIKO KIUCHUMI-MAJALIWA0

    WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa Sekta ya elimu ni wakala wa mabadiliko katika jamii kiuchumi, kiteknolojia na kiutamaduni katika kuleta maendeleo ya nchi. Amesema kuwa utoaji wa elimu bora kwa Watanzania ni moja ya vipaumbele vya nchi katika kuleta maendeleo. “Ili kufanikisha haya tunahitaji sekta hii kuwa bora, imara, inayokidhi mahitaji ya jamii kwa

    READ MORE
  • MATUKIO YA MHE. WAZIRI MKUU JIMBONI RUANGWA.

    MATUKIO YA MHE. WAZIRI MKUU JIMBONI RUANGWA.0

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na baadhi ya wazee kijijini kwake Nandagala, wilayani Ruangwa, Lindi tarehe 24 Machi, 2024. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa katika kijiwe cha kahawa kijijini kwake Nandagala, wilayani Ruangwa, Lindi tarehe 24 Machi, 2024. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiangalia nguo katika moja ya duka lililopo kijijini kwake Nandagala, wilayani Ruangwa, Lindi tarehe 24 Machi, 2024. Kulia ni Mfanyabiashara Jamaldin Ahmad.  Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumzaREAD MORE
  • Waziri Mkuu Majaliwa amehutubia Mkutano Mkuu wa Chama cha Mawakili wa Serikali Tanzania.0

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akihutubia wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Mawakili wa Serikali wa Tanzania Mkutano ulifanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre Jijini Dodoma tarehe 21 Machi, 2024. Kaulimbiu  ya mkutano huo ni “Upatikanaji wa Huduma za Kisheria kwa Wananchi ni Nguzo Muhimu kwa Ustawi wa Jamii,” Waziri MkuuREAD MORE
Translate »