Naibu Waziri Dkt.Biteko ameshiriki sherehe ya kuwekwa Wakfu Askofu Vincent Cosmas Mwagala.

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko leo Machi 19, 2024 ameshiriki sherehe ya kuwekwa Wakfu na Kusimikwa kwa Askofu Mpya wa Jimbo jipya la Mafinga ambalo limezaliwa kutoka Jimbo la Iringa, Ndg. Vincent Cosmas Mwagala. Sherehe hizo zimefanyika katika viwanja vya Kanisa Kuu la Kiaskofu jimboni Mafinga vilivyopo katika Wilaya ya Mufindi mkoani

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko leo Machi 19, 2024 ameshiriki sherehe ya kuwekwa Wakfu na Kusimikwa kwa Askofu Mpya wa Jimbo jipya la Mafinga ambalo limezaliwa kutoka Jimbo la Iringa, Ndg. Vincent Cosmas Mwagala. Sherehe hizo zimefanyika katika viwanja vya Kanisa Kuu la Kiaskofu jimboni Mafinga vilivyopo katika Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa.

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Latest Posts

Top Authors

Most Commented

Featured Videos

Translate »