MATUKIO YA MHE. WAZIRI MKUU JIMBONI RUANGWA.

MATUKIO YA MHE. WAZIRI MKUU JIMBONI RUANGWA.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na baadhi ya wazee kijijini kwake Nandagala, wilayani Ruangwa, Lindi tarehe 24 Machi, 2024. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa katika kijiwe cha kahawa kijijini kwake Nandagala, wilayani Ruangwa, Lindi tarehe 24 Machi, 2024. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiangalia nguo katika moja ya duka lililopo kijijini kwake Nandagala, wilayani Ruangwa, Lindi tarehe 24 Machi, 2024. Kulia ni Mfanyabiashara Jamaldin Ahmad.  Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na baadhi ya wazee kijijini kwake Nandagala, wilayani Ruangwa, Lindi tarehe 24 Machi, 2024.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa katika kijiwe cha kahawa kijijini kwake Nandagala, wilayani Ruangwa, Lindi tarehe 24 Machi, 2024.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiangalia nguo katika moja ya duka lililopo kijijini kwake Nandagala, wilayani Ruangwa, Lindi tarehe 24 Machi, 2024. Kulia ni Mfanyabiashara Jamaldin Ahmad. 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi katika kijiwe cha bodaboda kijijini kwake Nandagala, wilayani Ruangwa, Lindi tarehe 24 Machi, 2024.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi katika kijiwe cha bodaboda kijijini kwake Nandagala, wilayani Ruangwa, Lindi tarehe 24 Machi, 2024
Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Translate »