• RAILA ODINGA AKATAA MATOKEO YA URAIS KENYA

    RAILA ODINGA AKATAA MATOKEO YA URAIS KENYA0

    Nairobi. Aliyekuwa mgombea urais wa Kenya, kupitia wa Azimio la Umoja, Raila Odinga Raila, amekataa matokeo ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika Agosti 9, 2022, yaliyotangazwa jana na Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) ya Kenya, Wafula Chebukati. Jana, Chebukati alimtangaza mgombea urais kupitia Kenya Kwanza Dk William Ruto kuwa mshindi kwa kupata kura milioni

    READ MORE
  • RUTO ASHINDA ASHINDA URAIS KENYA

    RUTO ASHINDA ASHINDA URAIS KENYA0

    Tume ya Uchaguzi Huru na Mipaka (IEBC) imemtangaza aliyekuwa Naibu Rais, William Ruto (55) kuwa Rais Mteule wa Awamu ya Tano kwa tiketi ya Chama cha UDA kufuatia Uchaguzi Mkuu uliofanyika Agosti 9, 2022. Tume imesema Ruto amepata Kura 7,176,141 sawa na asilimia 50.49 huku akifuatiwa na Raila Odinga kutoka Chama cha Azimio la Umoja

    READ MORE
  • FUATILIA MATOKEO YA UCHAGUZI MKUU KENYA HAPA

    FUATILIA MATOKEO YA UCHAGUZI MKUU KENYA HAPA0

    Wananchi wa Kenya Agusti 9, 2022 walijitokeza kupiga kura kumchagua rais wa Taifa hilo huku mchuano mkali ukiwa kati ya Raila Odinga na William Ruto huku wakifuatiwa kwa mbali na wagombea wengine. Fuatilia Matokeo ya Uchaguzi Mkuu Kenya Hapa 👉👉https://elections.nation.africa/

    READ MORE
Translate »