Rais Samia amehutubia viongozi walioshiriki mkutano wa wakuu wa nchi za Afrika.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi pamoja na wageni mbalimbali walioshiriki mkutano wa wakuu wa nchi za Afrika wenye lengo la kuainisha vipaumbele vya nchi hizo ili viweze kuzingatiwa kwenye mzunguko wa 21 wa IDA katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Kenyatta (KICC) Jijini Nairobi nchini

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi pamoja na wageni mbalimbali walioshiriki mkutano wa wakuu wa nchi za Afrika wenye lengo la kuainisha vipaumbele vya nchi hizo ili viweze kuzingatiwa kwenye mzunguko wa 21 wa IDA katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Kenyatta (KICC) Jijini Nairobi nchini Kenya tarehe 29 Aprili, 2024.

IDA ni Mfuko Maalum wa Benki ya Dunia ambao unatoa mikopo nafuu na misaada kwa nchi zinazoendelea.

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Translate »