WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Juni 16, 2022 amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Dkt. Donald J. Wright katika Ofisi ndogo za Waziri Mkuu zilizopo Magogoni jijini Dar es Salaam. Waziri Mkuu na Balozi Wright wamezungumzia namna nzuri ya kuimarisha ushirikiano mzuri uliopo kati ya nchi hizo mbili katika Sekta za
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na kiongozi mkuu wa Taifa la Oman Sultan, Haitham bin Tariq Al Said, Muscat nchini Oman leo Juni 13, 2022. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na kiongozi mkuu wa Taifa la OmanREAD MORE
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ametembelea Kituo cha Saratani cha Dar Al Hanan kilichopo Muscat nchini Oman leo tarehe 13 Juni, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Kombe la Dunia kutoka kwa Balozi wa Kombe hilo kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) ambaye pia ni mchezaji wa zamani wa timu ya Taifa ya Brazil Juliano Belletti. Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi na wadau mbalimbali waREAD MORE
Makamu wa Rais Dkt Philip Isdor Mpango amewasili Stockholm Sweden ambapo atahudhuria mkutano wa Umoja wa Mataifa. Makamu wa Rais Dkt Philip Isdor Mpango amewasili Stockholm Sweden ambapo atahudhuria mkutano wa Umoja wa Mataifa.READ MORE