• RAIS DK.MWINYI AMEZUNGUMZA WAZIRI MKUU MSTAAFU WA UENGEREZA TONY BLAIR.

    RAIS DK.MWINYI AMEZUNGUMZA WAZIRI MKUU MSTAAFU WA UENGEREZA TONY BLAIR.0

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amempongeza Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza Tony Balir kwa kutekekeleza kwa vitendo ahadi zake za kuendelea kuiunga mkono Zanzibar hasa katika mipango na mikakati ya upangaji wa vipaumbele kwa watendaji wa Serikali. Rais Dk. Mwinyi aliyasema hayo wakati alipofanya mazungumzo na Waziri

    READ MORE
  • MAJALIWA: TANZANIA KUISAIDIA MSUMBIJI KUKOMESHA VITENDO VYA KIGAIDI

    MAJALIWA: TANZANIA KUISAIDIA MSUMBIJI KUKOMESHA VITENDO VYA KIGAIDI0

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema kuwa Tanzania itandelea kuwa mstari wa mbele kuisaidia nchi ya Msumbiji katika kukabiliana na vitendo ya kigaidi katika nchi hiyo. Ameyasema hayo leo (Alhamisi, Machi 24, 2022) alipomuwakilisha Rais  Samia Suluhu Hassan kwenye mkutano wa kujadili usalama katika eneo la Kusini Mashariki mwa Afrika hususan nchini Msumbiji na maeneo ya

    READ MORE
  • RAIS ZELENSKY AOMBA WATU KUANDAMANA DUNIANI KOTE KUIPINGA URUSI

    RAIS ZELENSKY AOMBA WATU KUANDAMANA DUNIANI KOTE KUIPINGA URUSI0

    Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky ameomba dunia kuandamana kupinga operasheni ya Urusi nchini Ukraine. Operesheni ya Urusi nchini Ukraine imesababisha mapigano na vifo vya watu wengi tangu kuanza kwake Februari 24 Rais Zelensky amesema kuisapoti Ukraine ni kusapoti uhuru na Maisha. Ametaka watu waingie mitaani an viwanjani kufanya sauti zao zisikike kuhusu kupinga hatua za

    READ MORE
Translate »