• RAIS Mwinyi amezungumza na Makamu wa Rais wa China Mhe. Han Zheng.

    RAIS Mwinyi amezungumza na Makamu wa Rais wa China Mhe. Han Zheng.0

    RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Han Zheng alipowasili katika ukumbi wa mkutano wa Complex Building Hunan China, wakati akiendelea  na ziara yake Nchini huo leo 28/6/2023.(Picha na Ikulu) RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza laREAD MORE
  • RAIS MWINYI AMEKUTANA NA BALOZI WA INDIA NCHINI.

    RAIS MWINYI AMEKUTANA NA BALOZI WA INDIA NCHINI.0

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi leo amekutana na Balozi wa India nchini Mheshimiwa Biyana S.Pradhan ambapo walizungumzia masuala mbalimbali ya Uhusiano na Ushirikiano kati ya Zanzibar na India. Katika mazungumzo hayo Dk. Mwinyi alisifu uhusiano na ushirikiano wa kihistoria uliodumu karne nyingi kati wa wananchi wa Zanzibar

    READ MORE
  • Rais Mwinyi ametembelea Makumbusho ya mabaki ya mjusi mkubwa aliyegunduliwa Tendaguru Lindi.

    Rais Mwinyi ametembelea Makumbusho ya mabaki ya mjusi mkubwa aliyegunduliwa Tendaguru Lindi.0

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi ametembelea Makumbusho ya Fuer Naturkunde Jijini Berlin, Ujerumani tarehe 19 Juni 2023 . Makumbusho haya yamehifadhi mabaki ya Dinosau ( Dinosaur) mkubwa aliyegunduliwa Tanzania Mwaka 1906/07 katika kijiji cha Tendaguru Lindi. Masalia hayo yanakadiriwa kuwepo wakati wa Kipindi cha Jurassic cha mwisho takribani

    READ MORE
Translate »