Rais Mwinyi amefungua ofisi za Silent Ocean, Foshan Guangzhou China.

Rais Mwinyi amefungua ofisi za Silent Ocean, Foshan Guangzhou China.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Viongozi mbalimbali wa Serikali na wa Kampuni ya Silent Ocean China , wakati wa ufunguzi wa Ofisi za Kampuni ya kusafirisha mizigo, uzinduzi huo uliofanyika katika eneo Foshan Guangzhou China, wakati  akiendelea na ziara yake Nchini China leo 28-6-2023.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakitembelea Ofisi za Kampuni ya usafirishaji wa mizigo kutoka Nchini China ya Silent Ocean China, baada ya kuifungua Ofisi hiyo leo 28-6-2023, akiendelea na ziara yake Nchini China leo 28-6-2023, (kushoto kwa Rais) Waziri wa Biashara na Viwanda Tanzania Mhe.Ashatu Kijaji, wakipata maelezo ya ofisi hiyo kutoka kwa CEO wa Silent Ocean China Ndg. Ebrahim Rashid.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Usafirishaji wa mizigo ya Silent Ocean China Ndg. Ebrahim Rashid, baada ya kuzifungua Ofisi za Kampuni hiyo katika eneo la  Foshan Guangzhou China, hafla hiyo iliyofanyika leo 28-6-2023.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Viongozi mbalimbali wa Serikali na wa Kampuni ya Silent Ocean China , wakati wa ufunguzi wa Ofisi za Kampuni ya kusafirisha mizigo, uzinduzi huo uliofanyika katika eneo Foshan Guangzhou China, wakati  akiendelea na ziara yake Nchini China leo 28-6-2023.
Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Latest Posts

Top Authors

Most Commented

Featured Videos

Translate »