RAIS Mwinyi amezungumza na Makamu wa Rais wa China Mhe. Han Zheng.

RAIS Mwinyi amezungumza na Makamu wa Rais wa China Mhe. Han Zheng.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Han Zheng alipowasili katika ukumbi wa mkutano wa Complex Building Hunan China, wakati akiendelea  na ziara yake Nchini huo leo 28/6/2023.(Picha na Ikulu) RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Han Zheng alipowasili katika ukumbi wa mkutano wa Complex Building Hunan China, wakati akiendelea  na ziara yake Nchini huo leo 28/6/2023.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe.Han Zheng, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Complex Building Hunan China leo 28-6-2023.(Picha na Ikulu)
Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Translate »