WIZARA YA ELIMU YATOA MAFUNZO KWA VIONGOZI NA WATUMISHI KUHUSU MASUALA YA PROTOKALI
- ELIMU
- November 1, 2022
Naibu Waziri wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi Mheshimiwa Abdallah Ulega amesema serikali imeanza hatua za utoaji elimu ya ufugaji kwa wanafunzi kwa kuanzisha Club zitakazowajengea uwezo wa ufugaji na kuwapatia ajira hata baada ya kumaliza masomo yao. Amesema hayo katika hafla fupi ya kukabidhi vifaa vya kukusanyia na kusindika bidhaa za maziwa kwa vyama
READ MORENa WMJJWM Iringa Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. Zainab Chaula amewataka watumishi wa Chuo cha Maendeleoya Jamii Ruaha kuwa wabunifu na kufanya shughuli za kuwaletea maendeleo. Dkt. Chaula ameyasema hayo leo alipotembelea Chuoni hapo kukagua shughuli na miradi ya Maendeleo. Dkt. Chaula amesema Vyuo vya Maendeleo ya
READ MORE