Na Mwandishi Wetu Dodoma Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima amezindua Mradi wa kuimarisha Afya, Ustawi na ulinzi kwa watoto na vijana wanaoishi katika mazingira hatarishi uitwao USAID Kizazi hodari katika hafla fupi iliyofanyika Jijini Dodoma Januari 17, 2023. Akizungumza na washiriki wa hafla hiyo Waziri Dkt.
READ MORENa Mwandishi Wetu Dodoma Wenyevyiti na Wasajili wa Mabaraza na Bodi za Kitaaluma nchini wametakiwa kusimamia maadili ya wanataaluma ili kulinda jamii na huduma zinazotolewa kwa wananchi. Kauli hiyo imesemwa na Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu wakati wa kikao cha pamoja na Wenyeviti wa Mabaraza ya kitaaluma na Bodi za ujasili zilizo chini ya Wizara
READ MORE– Na.Faustine Gimu,Elimu ya Afya Kwa Umma,Kilimanjaro. Rai imetolewa kwa Wataalam wa Afya hapa nchini kuwa na mikakati ya pamoja itakayorahisisha kupunguza vifo vya mama na mtoto ,kwani katika takwimu za kitaifa zinaonesha kuwa kulikuwa na vifo vya akina mama vitokanavyo na uzazi kwa mwaka 2020 vilikuwa 1,640 na mwaka 2021 vilikuwa 1,588. Rai hiyo imetolewa
READ MORENa Mwandishi Wetu Dar es salaam Timu ya Wataalam wa Mawasiliano na Uhusiano wa Taasisi zilizoko chini ya Wizara ya Afya mkoa wa Dar es salaam leo wametoa elimu kwa umma juu ya umuhimu wa Bima ya Afya kwa wote kwa wajumbe wa kamati ya Afya ya Mkoa Dar es Salaam (RHMT). Wajumbe wa kamati
READ MORE