• 0

    Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. Dorothy Gwajima Tanzania inaendelea kuwezesha wanawake kumiliki ardhi  na kuushiriki kwenye mipango ya matumizi ya ardhi iliyopo vijijini na utoaji wa maaamuzi katika changamoto ya mabadiliko ya tabia nchi. Dkt. Gwajima ameyasema hayo wakati akishiriki katika Mkutano wa pembeni ikiwa ni sehemu ya Mkutano wa 66 wa

    READ MORE
  • Waziri Dkt. Gwajima ameshiriki mkutano wa 66 wa hali ya wanawake duniani Nchini Marekani.

    Waziri Dkt. Gwajima ameshiriki mkutano wa 66 wa hali ya wanawake duniani Nchini Marekani.0

    Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. Dorothy Gwajima amesema Tanzania inatambua umuhimu wa ushiriki wa wanawake kuanzia ngazi ya chini kwenye jamii ambayo itawezesha kupata matokeo chanya yatakayotoa majibu na tija kwa changamoto za mabadiliko ya hali ya hewa, mazingira na majanga kwa kuzingatia usawa wa jinsia.   Dkt Gwajima ameyasema

    READ MORE
  • NSSF WATOA MSAADA WA VIFAA TIBA KATIKA HOSPITALI YA MNAZI MMOJA ZANZIBAR

    NSSF WATOA MSAADA WA VIFAA TIBA KATIKA HOSPITALI YA MNAZI MMOJA ZANZIBAR0

    NA MWANDISHI WETU, ZANZIBAR Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF )Tanzania Bara umetoa Msaada wa Vifaa Tiba ikiwemo Vitanda na Mashine kwa ajili ya kupima Shinikizo la damu kwa wagonjwa wanaopata matibabu katika Hospitali ya Mnazi mmoja iliyopo Visiwani Zanzibar ikiwa ni sehemu ya kuwajibika katika jamii. Katika kutoa msaada huo NSSF ilisindikizwa

    READ MORE
Translate »