Tanzania yapokea dozi 576, 558 za chanjo dhidi ya UVIKO-19 aina ya Sinopharm kutoka china. Dozi hizi zimeletwa nchini chini ya mpango wa Shirika la Afya Duniani (WHO) wa Covax Facility na hii ni sehemu ya Dozi 1, 065, 600
READ MORESerikali ya Tanzania inatarajia kupokea Shehena ya pili ya chanjo ya Ugonjwa wa Virusi vya Korona (UVIKO 19) aina ya Sinopharm itakayowasili nchini Oktoba 8 mwaka huu, na kufanya idadi ya chanjo hiyo kuongezeka na kufikia 1, 065,00 ambapo shehena ya kwanza ya chanjo kama hiyo ilipokelewa Oktoba 4 mwaka huu. Ujio wa chanjo hiyo
READ MORENa Barnabas Kisengi,Dodoma Waziri wa Afya Mendeleo ya Jamii jinsia Wazee na Watoto DKt Dorothy Gwajima amesema kuwa matumizi ya takwimu zenye ubora katika ngazi za chini ili kuweza kufanya maamuzi ya kisayansi bado ni changamoto katika halmashauri nchini jambo ambalo linarudisha nyuma Sekta ya Afya. Akizungumza kwenye madhimisho ya siku ya Epidemiology Duniani leo jijini Dooma katika
READ MOREPicha zote na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini WAMJW Na Mwandishi Wetu Manyoni Serikali imesema ipo katika hatua za mwisho za Mapitio ya Sera ya Taifa ya Wazee ya mwaka 2003 kwa kushirikiana na wadau na imeendelea kutekeleza afua mbalimbali zinazolenga kutatua changamoto zinazowakabili Wazee. Hayo yamesemwa Wilayani Manyoni Mkoani Singida na Waziri wa Afya, Maendeleo
READ MORE