• NDEJEMBI: TAKUKURU WATATUPA MAJIBU JUMAMOSI

    NDEJEMBI: TAKUKURU WATATUPA MAJIBU JUMAMOSI0

    Na Barnabas Kisengi-Chamwino NAIBU Waziri Ofisi ya Rais Utumishi na Mbunge wa Jimbo la Chamwino, Deo Ndejembi amewaahidi wananchi wa Kijiji cha Mahama kilichopo Kata ya Chilonwa kuwa watendaji wote watakaothibitika kuhusika na ubadhirifu wa fedha za ujenzi wa Zahanati ya kijiji hicho watachukuliwa hatua kali za kisheria na kinidhamu. Ndejembi ameyasema hayo wakati wa

    READ MORE
  • RAIS DK.MWINYI AONGOZA MAADHIMISHO YA SIKU YA KISWAHILI DUNIANI

    RAIS DK.MWINYI AONGOZA MAADHIMISHO YA SIKU YA KISWAHILI DUNIANI0

    RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakipata maelezo ya Bidhaa za Vifuu kutoka kwa Mwakilishi wa Kikundo cha Wajasiriamali cha Kiumbe Mzito kutoka Masingini Bi.Mwanaid Maneno, wakati akitembelea maonesho ya Wajasiriamali yalioandaliwa katika viwanja vya Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Unguja,

    READ MORE
  • #TANZIA: DIWANI WA CCM AFARIKI GHAFLA MSIKITINI

    #TANZIA: DIWANI WA CCM AFARIKI GHAFLA MSIKITINI0

    NA HERI SHABAN (ILALA) CHAMA cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Ilala kimepata pigo kufuatia Diwani wake wa Kata ya Majohe Mohamed Ngonde, kufariki leo alfajiri. Akizungumza kwa njia ya simu Katibu wa Madiwani wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam Busoro Pazi, alisema Marehemu Mohamed Ngonde alifariki akiwa katika Ibada ya alfajiri Leo Julai

    READ MORE
Translate »