HUDUMA BORA ZA NIDA, BRELA KUVUTIA WAWEKEZAJI

HUDUMA BORA ZA NIDA, BRELA KUVUTIA WAWEKEZAJI

Na Mwandishi wetu- Dodoma Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge na Uratibu Bw. Kaspar Mmuya amesema uboreshwaji wa huduma zinazotolewa na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) na Wakala wa Biashara na Leseni (BRELA) zitasaidia wananchi kupata huduma mbalimbali na wawekezaji kuwekeza kwa wingi Nchini. Naibu Katibu Mkuu huyo ameyasema hayo 

Na Mwandishi wetu- Dodoma


Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge na Uratibu Bw. Kaspar Mmuya amesema uboreshwaji wa huduma zinazotolewa na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) na Wakala wa Biashara na Leseni (BRELA) zitasaidia wananchi kupata huduma mbalimbali na wawekezaji kuwekeza kwa wingi Nchini.


Naibu Katibu Mkuu huyo ameyasema hayo  Jijini Dodoma  wakati wa kikao cha Makatibu na Wakuu wa Taasisi kujadili utekelezaji wa Mkataba wa Huduma kati ya Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA)  na Wakala wa Biashara na Leseni (BRELA).


Amesema  kutatuliwa kwa changamoto zinazokabili mamlaka hizo kunatoa fursa kwa wafanyabiashara  kuanzisha bishara zao, viwanda kwa mujibu wa sheria hivyo kuongeza pato la mtu mmoja mmoja hadi Taifa kwa ujumla.

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Translate »