SIMBACHAWENE: SERIKALI YA AWAMU YA SITA IMEPELEKA TSH. BILIONI 10 MPWAPWA

SIMBACHAWENE: SERIKALI YA AWAMU YA SITA IMEPELEKA TSH. BILIONI 10 MPWAPWA

Na Barnabas Kisengi-DODOMA Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu Mhe. George Simbachawene amesema katika kipindi cha Mwaka Mmoja wa Serikali ya Awamu ya sita inayoongozwa na Mhe Rais  Samia Suluhu Hassan imetoa shilingi Billion kumi kwa Halmashauri ya Mpwapwa   kwaajili ya kutekeleza  miradi mbalimbali ya Maendeleo Waziri  Simbachawene  ambaye pia

Na Barnabas Kisengi-DODOMA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu Mhe. George Simbachawene amesema katika kipindi cha Mwaka Mmoja wa Serikali ya Awamu ya sita inayoongozwa na Mhe Rais  Samia Suluhu Hassan imetoa shilingi Billion kumi kwa Halmashauri ya Mpwapwa   kwaajili ya kutekeleza  miradi mbalimbali ya Maendeleo

Waziri  Simbachawene  ambaye pia ni Mbunge wa Kibakwe  amebainisha hayo wakati akihutubia wananchi wa Jimbo la Kibakwe wilaya ya Mpwapwa Mkoani Dodoma.

SIMBACHAWENE

Aidha,Simbachawene amewapongeza wananchi  wa Kibakwe kwa kujikita zaidi shuguli za maendeleo  huku akiwahakikishia kwamba Jokofu kwa ajili ya Kuhifadhi maiti lipo, katika gharama za ujenzi wa kituo cha Afya  kibakwe.

SIMBACHAWENE PONGEZI.

Naye Diwani wa Kata ya Kibakwe  Mhe David Atanas amepongeza jitihada zinazofanywa na Mbunge wa jimbo la kibakwe katika kuletea wananchi maendeleo, amesema kibwakwe imepata million 500 kwa ajili ya ujenzi miundo mbinu ya maji. Katika jimbo la kibakwe ujenzi wa barabara kwa umbali wa kilometa moja.

DIWANI KATA YA KIBWAKWE.

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Translate »