- Habari, Kitaifa
- February 21, 2022
Tazama video kwa kubonyeza link hapo chini
READ MORE- Habari, Kitaifa, Siasa
- February 21, 2022
MWenyekiti wa CUF Taifa, Prof. Ibrahim haruna Lipumba akiongoza maandamano ya kuwapokwa wanachama wake zaidi ya 200 waliorejea kutoka ACT-WAZALENDO. Miongoni mwao akiwa ni Eng. Hamad Masoud aliwania nafafi cha uenyeti wa Chama cha ACT na kushindwa na Juma Duni Haji. Tazama Video kwa kugusa link hapo chini
READ MORE- Habari, Kitaifa, Siasa
- February 21, 2022
Mwenyekiti wa CUF Taifa Prof. Ibrahim Haruna Lipumba akikabidhi kadi za uanchama kwa wanachama wa Chama hicho zaidi ya 200 waliorejea kutoka chama cha ACT-WAZALENDO, akiwemo aliyekuwa mgombea kiti cha Uenyekiti ndani ya ACT, Eng. Hamad Masoud. Tazama video kwa kugusa Link hapo chini.
READ MORE