• Tanzania na Uturuki kushirikiana katika Sekta ya Utamaduni

  Tanzania na Uturuki kushirikiana katika Sekta ya Utamaduni0

  Na Shamimu Nyaki – WUSM, Dodoma Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo Bw.Saidi Yakubu amekutana na kufanya Mazungumzo na Balozi wa Uturuki nchini Mhe. Dkt. Mehmet Gulluoglu  kuhusu kushirikiana katika Sekta ya Utamaduni nchini. Kikao hicho cha kupitia Mkataba wa Ushirikiano  katika Sekta za Wizara kabla ya kuusaini  kiilifanyika Mei 10, 2022

  READ MORE
 • STEVE NYERERE AJIUZULU USEMAJI SHIRIKISHO LA MUZIKI

  STEVE NYERERE AJIUZULU USEMAJI SHIRIKISHO LA MUZIKI0

  Msanii wa filamu na mchekeshaji, Steve Mengele maarufu Steve Nyerere, leo Ijumaa Machi 25, 2022 ametangaza kujiuzulu nafasi ya usemaji wa Shirikisho la Muziki Tanzania(SMT). Asema kuna mambo mengi yenye tija ambayo Taifa linapaswa kuyashughulikia badala ya kuendeleza sakata la kuteuliwa kwake.

  READ MORE
 • BASATA YAMPIGA ‘STOP’ STEVE NYERERE

  BASATA YAMPIGA ‘STOP’ STEVE NYERERE0

  BARAZA la Sanaa Taifa (BASATA) limeingilia kati Mgogoro wa ndani la Shirikisho la Muziki na kusimamisha uteuzi wa awali wa Msemaji wa Shirikisho hilo Steven Mengere . Aidha Baraza limetoa uamuzi huo mara baada ya kufanya kikao Machi 23 na kuridhia kuwa Msemaji huyo kutoanza Majukumu yake Hadi pale sakata hilo litakapotatuliwa. Pia Baraza limejiridhisha

  READ MORE
Translate »