NAIBU Waziri wa Afya, Dokta Godwin Mollel amelitaka Jiji la Dodoma kuweka mkazo katika kuhamasisha wananchi kupanda miti badala ya kutoa maelekezo ya upakaji wa rangi kwenye mabati peke yake huku akiwataka wananchi kuzingatia suala la usafi katika maeneo yao ili kuondokana na magonjwa ya kuambukiza yanayopelekea kutumia gharama kubwa kwa matibabu. NA FAUSTINE GIMU
READ MOREWAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema unahitajika umakini mkubwa sana kama itaonekana kuna haja ya kuligawa Shirika la Umeme nchini (TANESCO). “Shirika letu la umeme nchini linafanya kazi kubwa. Linazalisha, linasafirisha na linagawa umeme kwenye maeneo mbalimbali nchini. Unapotaka kufanya jukumu la aina hii inabidi tuangalie sana usalama wa Taifa letu.” “Inabidi tuangalie kwa makini hasa
READ MORESERIKALI imeyafungulia rasmi magazeti ya Mwanahalisi, Mawio, Mseto na Tanzania Daima yaliyokuwa yamefungiwa kwa muda mrefu yamefunguliwa rasmi leo Februari 10, 2022.Uamuzi huo umetangazwa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye wakati akizungumza na wahariri wa vyombo vya habari na kutoa leseni ya magazeti hayo.“Agizo la Rais ni Sheria, Leo hii
READ MORE