- Habari, Kitaifa
- October 19, 2023
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekutana na kufanya mazungumzo na watumishi wa ofisi ya Ubalozi wa Tanzania nchini Italia, ambapo pamoja na mambo mengine amewataka waendelee kuimarisha mahusiano ya kihistoria yaliyopo kati ya Tanzania na Italy. Mheshimiwa Majaliwa amesema nchi inaendelea kutekeleza miradi ya maendeleo kwenye sekta mbalimbali zikiwemo za kilimo, elimu, mifugo, afya hivyo wao
READ MORE- Habari, Kitaifa
- October 17, 2023
READ MORE- ELIMU, Habari, Kitaifa
- October 17, 2023
NAIBU Waziri Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mhe. Deogratius Ndejembi amemuagiza Afisa Elimu Mkoa wa Arusha kuharakisha usajili wa Shule tarajiwa ya Msingi Lucas Mhina ili ipokee wanafunzi kwa ajili ya mwaka wa masomo 2024. Mhe Ndejembi ametoa agizo hilo kwenye uzinduzi wa Shule hiyo katika Kijiji cha Losirwa wilayani Monduli mkoani Arusha. Akizungumza kwenye uzinduzi huo,
READ MORE