• WAZIRI MKUU: SHERIA ZA TANZANIA ZINAKATAZA VITENDO VYA ULAWITI

    WAZIRI MKUU: SHERIA ZA TANZANIA ZINAKATAZA VITENDO VYA ULAWITI0

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema sheria za Tanzania zinakataza bayana vitendo vinavyokinzana na tamaduni, mila na desturi na zimeweka adhabu mbalimbali kwa makosa ya namna hiyo na yale ya udhalilishaji kwa watoto ikiwemo ulawiti. “Ninapenda kuliarifu Bunge lako kuwa sheria zetu hapa nchini, zinakataza bayana vitendo hivyo na zimeweka adhabu mbalimbali kwa makosa ya namna hiyo

    READ MORE
  • DINI INA MCHANGO MKUBWA WA KUJENGA MAADILI KWENYE TAIFA.

    DINI INA MCHANGO MKUBWA WA KUJENGA MAADILI KWENYE TAIFA.0

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akikagua msikiti wa ‘Masjid Ali Bin Saif’ kabla ya kuuzindua, msikiti ambao umejengwa na familia ya Sheikh Seif Ali Seif, maeneo ya Vingunguti jijini Dar es Salaam Aprili 14, 2023. Sheikh Nassor na Sheikh Seif wamejenga msikiti huo wenye hadhi kubwa kwa niaba ya Baba yao ambaye ameshatangulia mbele ya haki. – Advertisement – Waziri Mkuu

    READ MORE
  • RAIS DK.MWINYI AMEKUTANA NA BALOZI WA UBELGIJI

    RAIS DK.MWINYI AMEKUTANA NA BALOZI WA UBELGIJI0

    Zanzibar,06 Aprili, 2023SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema imejikiza zaidi kwenyeteknolojia ya kisasa ili kuboresha sekta ya utalii kwa kuimarishamiundominu ya kisasa ya utoaji huduma bora kupitia viwanja vya ndege vyaZanzibar ili kuwavutia watalii wengi zaidi kutoka mataifa mbambali ya duniawanaoitembelea Zanzibar ili wakirudi kwao wawe mabalozi wazuriwakusimulia mazuri yanayopatikana kwenye visiwa vya Unguja na

    READ MORE
Translate »