Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akikagua msikiti wa ‘Masjid Ali Bin Saif’ kabla ya kuuzindua, msikiti ambao umejengwa na familia ya Sheikh Seif Ali Seif, maeneo ya Vingunguti jijini Dar es Salaam Aprili 14, 2023. Sheikh Nassor na Sheikh Seif wamejenga msikiti huo wenye hadhi kubwa kwa niaba ya Baba yao ambaye ameshatangulia mbele ya haki. – Advertisement – Waziri Mkuu
READ MOREZanzibar,06 Aprili, 2023SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema imejikiza zaidi kwenyeteknolojia ya kisasa ili kuboresha sekta ya utalii kwa kuimarishamiundominu ya kisasa ya utoaji huduma bora kupitia viwanja vya ndege vyaZanzibar ili kuwavutia watalii wengi zaidi kutoka mataifa mbambali ya duniawanaoitembelea Zanzibar ili wakirudi kwao wawe mabalozi wazuriwakusimulia mazuri yanayopatikana kwenye visiwa vya Unguja na
READ MORESerikali ya Mapinduzi ya Zanzibar itaendelea kuunga mkono jitihada zinazochukuliwa na sekta binafsi katika kuwaunganisha na kuwaletea maendeleo wazanzibari.Hayo yamesemwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili Sera,Uratibu na Baraza la Wawakilishi Mhe Hamza Hassan Juma kwa niaba ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Alhajj Hemed Suleiman Abdulla katika hafla ya
READ MOREMatukio mbalimbali ya mchezo kati ya Fountain Gate 2-0 Scan AID ya Gambia, mashindano ya Shule Afrika (African Schools Championship) yaliyoanza jana Durban, Afrika Kusini
READ MOREUTANGULIZI 1. Mheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba kutokana na taarifa Bunge za Utawala, Katiba na Sheria; Afya na Masuala ya UKIMWI; Ustawi na Maendeleo ya Jamii; na Bajeti zilizochambua Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu na Mfuko wa Bunge, sasa naliomba Bunge lako lipokee na kujadili Taarifa ya Mapitio ya Utekelezaji wa Kazi za Serikali kwa mwaka 2022/2023 na Mwelekeo wa Kazi zake kwa mwaka 2023/2024. Aidha, naomba Bunge lako Tukufu likubali kupitisha makadirio ya mapato na matumizi ya fedha ya Ofisi ya Waziri Mkuu na taasisi zilizo chini yake pamoja na Ofisi ya Bunge kwa mwaka 2023/2024. 2. Mheshimiwa Spika,awali ya yote, ninamshukuru Mwenyezi Mungu, mwingi kujadili Taarifa ya Mapitio ya Utekelezaji wa Kazi za Serikali kwa Mwaka 2022/2023 na mwelekeo wake kwa mwaka 2023/2024 tukiwa wenye afya njema. 3. Mheshimiwa Spika, itakumbukwa kuwa huu ni Mkutano wa 11 wa Bunge la wenzangu, tuitumie vyema fursa hii kutoa maoni na ushauri ili kuisaidia Serikali kuimarisha utekelezaji wa vipaumbele vilivyoainishwa kwenye Mpango na Bajeti ya Mwaka 2023/2024. Napenda kuwahakikishia kuwa Serikali itapokea maoni na ushauri wenu na kuyafanyia kazi kwa maslahi mapana ya wananchi. Salamu za Pole 4. Mheshimiwa Spika, nchi yetu kwa nyakati tofauti imekumbwa na maafana uharibifu wa mali na mazingira. Nitumie fursa hii kuwapa pole Watanzania wote waliopoteza ndugu, jamaa na mali zao katika maafa. Aidha, ninamwomba Mwenyezi Mungu awajalie majeruhi wote uponyaji wa haraka na aendelee kuwapumzisha kwa amani wale waliopoteza maisha. Salamu za Pongezi 5. Mheshimiwa Spika, nitumie fursa hii kumpongeza Mheshimiwa Dkt. Samia vyema na kupata maendeleo na mafanikio makubwa katika kipindi kifupi cha miaka miwili ya uongozi wake. Mafanikio hayo ni pamoja na uboreshaji wa miundombinu na huduma za afya, maji, elimu, umeme na uchukuzi, kuboresha hali ya chakula na lishe na kuimarisha hali ya kisiasa nchini na mahusiano ya kimataifa. 6. Mheshimiwa Spika, napenda pia kuwapongeza Mheshimiwa Dkt. Philip Dkt. Hussein Ali Mwinyi, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi 1 kutokana na uongozi wao makini na jitihada zao katika kuhakikisha Taifa letu linapata maendeleo. 7. Mheshimiwa Spika, hivi karibuni, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, watendaji wakuu wa taasisi na viongozi wa Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa. Mabadiliko hayo, yamelenga kuimarisha utendaji kazi Serikalini ikiwa ni pamoja na utoaji huduma bora na kushughulikia kero mbalimbali za wananchi. 8. Mheshimiwa Spika, ninawapongeza viongozi na watendaji wote niwapongeze Mheshimiwa Jenista Joakim Mhagama Mbunge wa Peramiho na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu; Mheshimiwa George Boniface Simbachawene Mbunge wa Kibakwe na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora; na Mheshimiwa Abdallah Hamis Ulega Mbunge wa
READ MORE
Mwalimu House, Uhuru Road
Ilala, Dar Es Salaam. Tanzania
Mob: +255762885978
Mob: +255765130638