• YANGA, MBEYA CITY WATOSHANA NGUVU

    YANGA, MBEYA CITY WATOSHANA NGUVU0

    FULL TIME: NBCPL 🇹🇿 🏟️ Sokoine, Mbeya MBEYA CITY 1-1 YANGA SC⚽️ Heritier Makambo 40′⚽️ Joseph Semujju (P) 50′ Dakika 90 zimemalizika katika dimba la Benjamin Mkapa kwa sare ya 1-1 kati ya Mabingwa, Yanga SC dhidi ya wenyeji Mbeya City Mbeya City wanakwea mpaka nafasi ya 9 wakiwa na alama 36 huku Vinara, Yanga

    READ MORE
  • GEITA GOLD YAFUNGIWA NA FIFA/ TFF WATOA NENO

    GEITA GOLD YAFUNGIWA NA FIFA/ TFF WATOA NENO0

    Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) limeifungia klabu ya Ligi Kuu ya NBC ya Geita Gold kusajili wachezaji hadi itakapomlipa aliyekuwa Kocha wake Ettiene Ndayiragije. Kocha huyo raia wa Burundi alifungua madai dhidi ya Geita Gold FC akidai fidia ya kuvunjiwa mkataba pamoja na malipo mengine wakati akiifundisha timu hiyo ya mkoani Geita.

    READ MORE
  • MAVUNDE, GAMBO WAZINDUA MCHEZO WA BAO, DODOMA WAIBUKA KIDEDEA

    MAVUNDE, GAMBO WAZINDUA MCHEZO WA BAO, DODOMA WAIBUKA KIDEDEA0

    Na Barnabas Kisengi, Dodoma. Mashindono ya mchezo wa bao ya siku moja ya timu ya Dodoma na Arusha yamezindiliwa na kuchchezwa kwa kuongozwa na Naibu waziri wa kilimo ambaye pia ni Mbunge wa jimbo la Dodoma Mjini Mhe. Anthony Mavunde kuchuana na Mbunge wa Jimbo la Arusha MH MRISHO GAMBO Jijini Dodoma katika viwanja vya

    READ MORE
Translate »