YANGA, MBEYA CITY WATOSHANA NGUVU

YANGA, MBEYA CITY WATOSHANA NGUVU

FULL TIME: NBCPL 🇹🇿 🏟️ Sokoine, Mbeya MBEYA CITY 1-1 YANGA SC⚽️ Heritier Makambo 40′⚽️ Joseph Semujju (P) 50′ Dakika 90 zimemalizika katika dimba la Benjamin Mkapa kwa sare ya 1-1 kati ya Mabingwa, Yanga SC dhidi ya wenyeji Mbeya City Mbeya City wanakwea mpaka nafasi ya 9 wakiwa na alama 36 huku Vinara, Yanga

FULL TIME: NBCPL 🇹🇿

🏟️ Sokoine, Mbeya

MBEYA CITY 1-1 YANGA SC
⚽️ Heritier Makambo 40′
⚽️ Joseph Semujju (P) 50′

Dakika 90 zimemalizika katika dimba la Benjamin Mkapa kwa sare ya 1-1 kati ya Mabingwa, Yanga SC dhidi ya wenyeji Mbeya City

Mbeya City wanakwea mpaka nafasi ya 9 wakiwa na alama 36 huku Vinara, Yanga SC wakifikisha alama 71.

#JfiveSports

Jfive Team
ADMINISTRATOR
PROFILE

Posts Carousel

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked with *

Translate »