- Habari, Kitaifa
- May 25, 2022
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewasimamisha kazi maafisa sita wa Jiji la Arusha akiwemo Mkurugenzi wa Jiji hilo, Dkt. John Pima kwa makosa ya matumizi mabaya ya fedha za Jiji na tuhuma za kughushi nyaraka. Watumishi wengine waliosimamishwa kazi ni Mweka Hazina wa Jiji, Bi. Mariam Shaban Mshana; Bw. Innocent Maduhu (Mchumi), Bw. Alex Daniel Tlehama
READ MORE,
READ MOREWAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wafanyabiashara ndogondogo na wajasiriamali wafanye biashara zao kwa uhakika kwa sababu Serikali inataka watimize matananio yao. “Serikali hii inawatambua na itasimamia matamanio yenu na mtafuika kwenye ndoto zenu. Mtaji uliowekezwa kwenye vibanda hivi na Jiji ni shilingi bilioni moja na Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akaongeza shilingi milioni 500 ili masoko
READ MORE