• WAZIRI MKUU AZINDUA TAWI LA BENKI YA MWANGA NA KUTOA MAAGIZO SABA

    WAZIRI MKUU AZINDUA TAWI LA BENKI YA MWANGA NA KUTOA MAAGIZO SABA0

      WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amezindua tawi la benki ya Mwanga Hakika jijini Dodoma na kuitaka benki hiyo iwe kimbilio la wajasiriamali na wakulima wadogo. “Kuweni kimbilio la wajasiriamali na wakulima wadogo. Njooni na bidhaa na vivutio muhimu kwa makundi hayo ya wajasiriamali na wakulima wadogo. Hilo ni kundi ambalo linahitaji zaidi huduma zenu katika kuliwezesha

    READ MORE
  • EWURA YATANGAZA KUPANDA KWA BEI ZA MAFUTA KUANZIA SEPTEMBA 01, 2021

    EWURA YATANGAZA KUPANDA KWA BEI ZA MAFUTA KUANZIA SEPTEMBA 01, 20210

    Na Barnabas Kisengi-Dodoma  Mamlaka ya Uthibiti wa Nishati na Maji (EWURA) imetangaza kupanda kwa bei za mafuta nchini kuanzia Semptemba 01 2021 kwa bei za mafuta ya petroli, Dizeli na mafuta ya taa Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma Mkuu wa kitengo cha  mahusiano na habari Titus Kaguo amesema kuwa Ewura imetangaza kupanda kwa

    READ MORE
  • WAHANDISHI 630 KULA KIAPO CHA UTII JIJINI DODOMA

    WAHANDISHI 630 KULA KIAPO CHA UTII JIJINI DODOMA0

    NA PENDO MANGALA,DODOMA. WAHANDISI wataalamu 630, wanatarajia kula kiapo cha utii wa taaluma yao ili kuhakikisha kuwa wanawajibika vyema katika taaluma zao, ambapo kiapo hicho hicho kitatumiwa na vyombo mbalimbali kuwawajibisha pale watakapo kiuka sheria na taratibu katika majukumu yao kila siku.Hayo yamebainishwa leo jijini Dodoma na Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya mkutano mkuu

    READ MORE
Translate »