RASMI CHAMA AREJEA SIMBA(+Video)
- Michezo na Burudani
- January 14, 2022
Ujenzi wa maabara za masomo ya sayansi kwa shule za sekondari umechangia kuongeza kwa idadi ya wanafunzi wanaosoma masomo hayo mkoani Kagera. Kaimu Afisa Elimu Sekondari Mkoa wa Kagera, Mbaraka Mayya amesema maabara zimewasaidia wanafunzi hao kusoma kwa vitendo jambo linalowaongezea uwezo wa kufahulu vizuri katika mitihani yao na kuona masomo hayo ni rahisi kama
READ MORERAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kifo cha aliekuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli kimewacha simanzi na huzuni kubwa katika mioyo ya wananchi wa Tanzania na wapenda amani kote Barani Afrika. Dk. Mwinyi amesema hayo Uwanja wa Amani Jijini hapa, katika
READ MOREMarais kutoka nchi mbalimbali walipokuwa wakitoa heshima zao za mwisho kumuaga aliyekuwa Rais wa awamu ya tano Dkt. John Pombe Magufuli kwenye shughuli ya kuaga ikiyofanyika leo tarehe 22 Machi, 2021 katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.
READ MORENi siku nyingine ngumu katika historia ya nchi yetu, ila kwangu ni ngumu zaidi, ilianza ugumu tangu nilipotangaza kifo cha Rais Machi 17, 2021 nilihisi nafanya makosa kumtangaza Rais wangu kuwa amefariki lakini nikaambiwa hakuna wa kulitangaza hili isipokuwa mimi, nilijipa moyo kutangazaBinadamu wote lazima siku moja turudi kwa Muumba wetu, lakini kifo hiki hatukukitarajia
READ MOREHabari picha matukio ya kuaga mwili wa hayati Rais Dkt John Pombe Magufuli kitaifa makao makuu ya nchi jijini Dodoma katika viwanja vya bunge na uwanjani wa jamuhuri jijini Dodoma …. Picha na Barnabas kisengi Dodoma
READ MORE